Msaada wana pre university wenzangu


G

Gabriel Chishako

Member
Joined
Jun 9, 2013
Messages
12
Likes
0
Points
3
G

Gabriel Chishako

Member
Joined Jun 9, 2013
12 0 3
Jaman mi napata wakat mgumu wa kutumia haina ya pen kujaza phome za mikopo pamoja picha zangu za muombaj zinapigwa muhur wa s/mtaa au hazipigwi,pia swala la TCU una aply vip vyuo msaada wenu
 
Makbel

Makbel

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Messages
778
Likes
21
Points
35
Makbel

Makbel

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2011
778 21 35
Jaman mi napata wakat mgumu wa kutumia haina ya pen kujaza phome za mikopo pamoja picha zangu za muombaj zinapigwa muhur wa s/mtaa au hazipigwi,pia swala la TCU una aply vip vyuo msaada wenu[/
Print kwanza fomu kisha soma maelezo yote utaelewa na si kukurupuka kuweka Post humu Jf.
 
M

Moize

Member
Joined
May 16, 2013
Messages
14
Likes
0
Points
0
M

Moize

Member
Joined May 16, 2013
14 0 0
Picha hazipigwi muhuri. Kuhusu TCU, tembelea mtandao wao kwenye www.cas.tcu.go.tz. But you have to first buy a scrach card from NBC Bank at 50000/= only
 

Forum statistics

Threads 1,275,231
Members 490,947
Posts 30,536,341