Kwa wale wa mzumbe au wenye uwelewa na hili tafadhali.


H

Halima james

Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
32
Likes
1
Points
0
H

Halima james

Member
Joined Jun 3, 2013
32 1 0
Mm nimemaliza diploma ya financial administration so nlikua nataka kuomba economics ya mzumbe bt nmeckia wanachukua wenye ufaulu mzuri tu. mm gpa yangu ni 3... je naweza kupata
 
ndupa

ndupa

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2008
Messages
4,442
Likes
57
Points
0
ndupa

ndupa

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2008
4,442 57 0
Mm nimemaliza diploma ya financial administration so nlikua nataka kuomba economics ya mzumbe bt nmeckia wanachukua wenye ufaulu mzuri tu. mm gpa yangu ni 3... je naweza kupata
utapata dada yangu we ombaaa tuu...!!!sasa zipo tatu kuna economics in economic policy and planning,economics in economic project planning and mgt na economics in population and dev....nakushauru anza kujazaa ya population bz izo nyingine zina competetion kubwa na marks zako ni ndogo...all best wishes..
 
H

Halima james

Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
32
Likes
1
Points
0
H

Halima james

Member
Joined Jun 3, 2013
32 1 0
nlikua nataka nianze kujaza project planning den population je kuna uwezekano ukikosa ya mwanzo c ukawekwa ya pili.
 

Forum statistics

Threads 1,273,525
Members 490,428
Posts 30,484,172