National service (j.k.t) kwa form six graduates


CASSIUS

CASSIUS

Member
Joined
Nov 1, 2012
Messages
34
Likes
0
Points
13
Age
28
CASSIUS

CASSIUS

Member
Joined Nov 1, 2012
34 0 13
Je kuna yeyote mwenye taarifa kamili juu ya hili? Ukifanya marejeo kwenye hotuba ya Mnadhimu Mkuu wa MafunzoJKT kwa Mh. Rais siku ya ufunguzi wa Mafunzo ya Kijeshi, ukakamavu na uzalendo kwa Vijana mwezi Tatu,alisema: ".......mafunzo haya yatachukua muda wa miezi sita, yaani tutapokea vijana kwa awamu mbili kila awamu itapata mafunzo kwa miezi 3. Kwa kuanzia tumechukua vijana 5000 kutoka shule 25 za sekondari. Badaye tutachukua vijana wengine idadi kubwa zaidi ili kuhakikisha kuwa kabla ya muda wa vijana kujiunga na masomo ya juu zaidi wawe tayari wameputia mafunzo haya.........". JE NI KWELI KUWA WALE WALIOTANGULIA WANAPO MALIZA NGWE YAO TAR.21 MWEZI HUU, WALE WALIOPATA DARAJA LA KWANZA HADI LA TATU NI ZAMU YAO? Mwenye taarifa kamili aokoe jahazi ili watu wakamilishe michakato ya Application mapema....! Nawasilisha
 
Mbrazili

Mbrazili

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Messages
652
Likes
9
Points
35
Age
27
Mbrazili

Mbrazili

JF-Expert Member
Joined May 7, 2013
652 9 35
Ngoma ngumu hiii....ki nlishasahau...
 
jwhizzy

jwhizzy

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Messages
521
Likes
159
Points
60
Age
27
jwhizzy

jwhizzy

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2012
521 159 60
ndo tu ckilizie itakuwaje.
 
CASSIUS

CASSIUS

Member
Joined
Nov 1, 2012
Messages
34
Likes
0
Points
13
Age
28
CASSIUS

CASSIUS

Member
Joined Nov 1, 2012
34 0 13
Mchana wa leo nimetembelea shule fulani, na kwa taarifa fupi niliyopewa kutoka kwenye chanzo cha siri ni kuwa: leo ndo mmoja wa vigogo wa shule hiyo amepeleka majina ya wale watakao takiwa kujiunga na mafunzo hayo mwishon mwa mwezi huu!
 

Forum statistics

Threads 1,273,308
Members 490,351
Posts 30,477,653