Udsm huu ni wizi wa mchana kweupee!

barite

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
227
225
hbr wana jf
hv majuzi nilibahatika kupata ruhusa ya siku mbili hv so nkaona bora niende chuo udsm nkachukue cheti changu bt niliyo yakuta ckuamini kama kweli udsm wanatoa huduma ya elimu au wanafanya biashara cz nilipofika nikaambiwa natakiwa nitoe sh 5000 kwa ajili ya fomu ya mwanasheria sa mi najiuliza mwanasheria kwa lipi hasa wakati nimesoma hapo hadi nikamaliza nikachukua na transcript suala la mwanasheria liniingiaje hapa na pia transcript yenyewe nililipia sh 10000 af kuchukua chet unaambiwa uje vi photocopy ya transcript na kitambulisho chako cha kazi au kura au barua ya serikali ya mtaa na ikumbukwe kuwa mitihani tulikuwa tunalipia kwa kila mwaka sasa mi nakuuliza we mkandala je hizi pesa tunazotoa sasa ni kwa ajili ya kununua cheti au mbona mnafanya mambo ya kihuni kiasi hicho mfano mzuri ni necta enzi zetu tulukuwa tunalipia tu mtihani na cheti unapata bila ya longolongo bt na wao wakaja na kamchango cha kusafirisha had shuleni ila mi naona hizi ni biashara na si huduma tena wadau embu kwa pamoja tukemee huu uwizi wa hawa wajanja wachache
 
Mwihadisa

JF-Expert Member
Dec 31, 2012
608
195
Wewe graduate gani hujui kwamba siku hizi kuna utapeli mkubwa? Hivyo viapo ni kwa ajili ya usalama wa cheti chako...Ni utaratibu wa miaka yote, kila anayechukua cheti anaitia process hizo...Halafu 5000/= kitu gani ukilinganisha na umuhimu wa cheti chako?
 
martyr2012

JF-Expert Member
Jul 18, 2012
594
250
hbr wana jf
hv majuzi nilibahatika kupata ruhusa ya siku mbili hv so nkaona bora niende chuo udsm nkachukue cheti changu bt niliyo yakuta ckuamini kama kweli udsm wanatoa huduma ya elimu au wanafanya biashara cz nilipofika nikaambiwa natakiwa nitoe sh 5000 kwa ajili ya fomu ya mwanasheria sa mi najiuliza mwanasheria kwa lipi hasa wakati nimesoma hapo hadi nikamaliza nikachukua na transcript suala la mwanasheria liniingiaje hapa na pia transcript yenyewe nililipia sh 10000 af kuchukua chet unaambiwa uje vi photocopy ya transcript na kitambulisho chako cha kazi au kura au barua ya serikali ya mtaa na ikumbukwe kuwa mitihani tulikuwa tunalipia kwa kila mwaka sasa mi nakuuliza we mkandala je hizi pesa tunazotoa sasa ni kwa ajili ya kununua cheti au mbona mnafanya mambo ya kihuni kiasi hicho mfano mzuri ni necta enzi zetu tulukuwa tunalipia tu mtihani na cheti unapata bila ya longolongo bt na wao wakaja na kamchango cha kusafirisha had shuleni ila mi naona hizi ni biashara na si huduma tena wadau embu kwa pamoja tukemee huu uwizi wa hawa wajanja wachache

Kuzoea burebure bwanan sasa hapo wizi uko wapi? Kiache basi usubiri burebure yako khaaaaaaa
 
Petro E. Mselewa

Verified Member
Dec 27, 2012
9,524
2,000
hbr wana jf
hv majuzi nilibahatika kupata ruhusa ya siku mbili hv so nkaona bora niende chuo udsm nkachukue cheti changu bt niliyo yakuta ckuamini kama kweli udsm wanatoa huduma ya elimu au wanafanya biashara cz nilipofika nikaambiwa natakiwa nitoe sh 5000 kwa ajili ya fomu ya mwanasheria sa mi najiuliza mwanasheria kwa lipi hasa wakati nimesoma hapo hadi nikamaliza nikachukua na transcript suala la mwanasheria liniingiaje hapa na pia transcript yenyewe nililipia sh 10000 af kuchukua chet unaambiwa uje vi photocopy ya transcript na kitambulisho chako cha kazi au kura au barua ya serikali ya mtaa na ikumbukwe kuwa mitihani tulikuwa tunalipia kwa kila mwaka sasa mi nakuuliza we mkandala je hizi pesa tunazotoa sasa ni kwa ajili ya kununua cheti au mbona mnafanya mambo ya kihuni kiasi hicho mfano mzuri ni necta enzi zetu tulukuwa tunalipia tu mtihani na cheti unapata bila ya longolongo bt na wao wakaja na kamchango cha kusafirisha had shuleni ila mi naona hizi ni biashara na si huduma tena wadau embu kwa pamoja tukemee huu uwizi wa hawa wajanja wachache
Mkuu, huo ni utaratibu wa kawaida hapa UDSM. Mwanasheria/Wakili anatoa huduma tu.Si lazima wa hapa UDSM.Lakini, hilo jambo ni la lazima kwa ajili ya kukamilisha fomu yako inayohtaji muhuri wa Wakili. 5000 ni hela ndogo sana kwa huduma ya Wakili.
 
Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
13,664
2,000
Sasa kama ulishindwa kuuliza pale pale Admissions, huku unadhani utapata jibu zuri zaidi ya kule? Wewe ungewauliza hivi hiyo sehemu ya mwanasheria kujaza ni ipi, wangekuonyesha. Kama ungetaka kwenda nje ya UDSM kwa mwanasheria mwingine, bado usingenyimwa hiyo form, ungepewa ukagonge huko halafu uirudishe pale mchakato uendelee. Walichofanya ni kurahisisha kwa kumtumia mwanasheria wa chuo, lakini witness ya lawyer ipo pale pale. Nakushauri uwe mdadisi pale unapodhani kuna utata, ila ulizia mahali husika, sio kila kitu hadi uje JF
 
BARCA ON

Senior Member
Nov 26, 2011
184
250
acha kuchafua jina la chuo, we kama ungeona huriziki uneuliza kulekule, afterlow huu ni utaratibu uliozoeleka uliza hata class mate zako
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom