Kuna baadhi ya wanafunzi wa kampala international university hawajapewa boom lao hadi sasa!

The MORNING

Member
Oct 19, 2013
9
0
Mwanzoni wakati ninapangwa kuja kusoma hiki chuo nilijiona mwenye thamani sana ila cha ajabu sasa hivi ninatamani kukihama chuo! Jamani .....sio wote ambao tunasoma KAMPALA kwetu ni mambo safi, wengine kwetu huo mkopo wa serikali yetu ndio kila kitu kwetu! Sasa tangu mwezi wa kumi hadi leo bado fedha zetu hatujapewa, tutaishije sisi watoto wa walala hoi?? Mbona vyuo vingine hadi boom la pili weshapewa?? hapa KAMPALA kuna nini tusipewe hyo hela jamani?? Tunakufa njaa huku mtaani! BOARD YA MKOPO MNATUSIKIA JAMANI?? Tumefuatilia hadi tumechoka na next week kila siku! Tusaidieni LOANS BOARD!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom