Ngaramtoni
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 429
- 61
Bandugu zangu habari za weekend? Naomba msaada wenu katika hili, kuna mwanaSAUT alipata mkopo na kama ilivyo utaratibu wa sasa boom hutolewa kwa awamu,awamu ya kwanza alisign na aliwekewa.Awamu ya pili ilipotangazwa kuwa kwakasign,alienda lakini jina lake halikuwepo kwenye orodha,aliyekuwa anasimamia zoezi hilo akamwandika jina then akamwambia asijali atapata boom.Sasa jana alipata habari kuwa wenzake tayari imetema lakini alipoangalia kwake hakuna kitu,sasa je,nini inaweza kuwa sababu ya jina lake kukosekana?majina yaliotumika awamu ya kwanza ni tofauti na ya awamu ya pili kwa vipi wakati benefitiaries ni walewale,anaomba mwenye namba ya waziri wa mikopo amsaidie hapa aweze kuelekea chuo kufuatilia, asanteni