Msaada juu ya chuo cha D.I.T

Msaada juu ya chuo cha D.I.T

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,334
Reaction score
12,467
Habari za saivi wakuu naomba kujuzwa juu ya ubora na mazingira ya DIT mwanza compus ,hiki chuo kizur? na je coz ya science and laboratory techlogy ni nzur? Inaajira za kutosha?
 
Hiyo science and laboratory technology inahusika na nini hasa ?
 
updated.png
 
Nenda VETA achana na kozi za kiduanzi kama hizo
Kama umechaguliwa DIT yenyewe ya Dar kwa kozi za Mechanical, Electrical au Civil engineering hapo sawa
 
Back
Top Bottom