Kusomea tahasusi ya CBG

The Greater One

New Member
Mar 2, 2024
3
2
Kuna binti mmoja mtoto wa dada yangu amehitimu kidato cha nne kwa matokeo yafuatayo;
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D' na anapenda kusoma advance akaniomba nimshauri asomee nini,

Sasa wakuu ninyi mnashauri vipi?
 
Combination zote za arts na business anaenda pia CBG, CBN na CBA pia anaenda lakini kama uwezo upo aende chuo akapige diploma ya pharmaceutical sciences.
 
Aende CBG then kama yupo vizur aende SUA akapige BSc. Agriculture General hatojutia... NB:Awe tayari na Shule ya kutosha SUA
 
Combination zote za arts na business anaenda pia CBG, CBN na CBA pia anaenda lakini kama uwezo upo aende chuo akapige diploma ya pharmaceutical sciences.
Kwa sasa bila kusoma physics ukiwa secondary basi sahau kuja kusoma kozi ya Pharmaceutical science ama kozi yoyote ya afya.
 
Kuna binti mmoja mtoto wa dada yangu amehitimu kidato cha nne kwa matokeo yafuatayo;
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D' na anapenda kusoma advance akaniomba nimshauri asomee nini,

Sasa wakuu ninyi mnashauri vipi?
Swali la kwanza kwako mzazi, je kwanini uliruhusu form3 akiwa form3 aache physics?
 
Back
Top Bottom