Naomba wakuu angalau nipate hata pa kuanzia maana nimesoma diploma katika hii course lakini sina hata connection ya kazi yoyote hii imekaaje please msaada wenu
Kunashkaji wangu alianza kusoma hii kitu, mwaka mmoja tu akatundika daluga akaenda kufanya mishe zingine
Leo anakaa mezani na wasanii wakubwa kupanga mipango anafahamika hadi hukoo nje ya nchi.
Ushauri wangu, wachana na connection, fanya ishu zingine while unangojea hii yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.