Digital marketing

Mkuu hakuna kozi ya kukuwezesha kujiajiri,

Ila kazi ya marketing ni kukupa ufasaha na mbinu za kuuza bidhaa au huduma unayotoa. Anza kusearch you tube bure

Pia tuwasiliane
Sijakuelewa

Yani kozi ya digital marketing haiwezi kunifanya nijiajir au kozi zote .?
 
Kwa siku zinazokuja marketing itahamia asilimia 100 na kuwa digital marketing hivyo mtu akisoma bachelor of digital marketing its better kuliko pure marketing management kwa sababu ukiwa na skills za digital marketing utaweza reach a lot of customer hii nzuri sana ukiwa hutaki kuajiliwa unajiajiri ww mwenyewe ukiwa mjasiliamali
 
Nimekuelewa vizuri

Bado Napata ushahuri, Ili nifanye decisions zilizo sahihi
 
Mkuu hakuna kozi ya kukuwezesha kujiajiri,

Ila kazi ya marketing ni kukupa ufasaha na mbinu za kuuza bidhaa au huduma unayotoa. Anza kusearch you tube bure

Pia tuwasiliane

Kwamba haya masomo utamfundisha haya kwamba youtube ndio atakuwa competence zaidi

AIM100 Academic Integrity Module
BB101 Business Communications
BB103 Management Principles
BB104 Introductory Accounting
BB105 Marketing Principles
BN110 Information Systems Fundamentals
BB106 Economic Principles
BB107 Commercial Law
BB108 Business Statistics

Major Stream (Digital Marketing)

BK202 Consumer Behaviour
BK208 Digital Marketing Foundations
BK209 Digital Content Creation and Management
BK210 Market Research
BK213 Services Marketing
BK214 Integrated Marketing Communications
BK217 Social Media, Video and Search Marketing
BK301 Brand Strategy
BK307 Designing the User Experience
BK317 Product Innovation and Commercialisation
BK318 Digital Marketing Strategy and Planning
BB330 Industry Based Capstone Project*
Electives

BB208 Business Ethics and Sustainability
BB212 Human Resource Development
BB329 Integrated Strategy
BK315 International Marketing
BM202 Organisational Behaviour
BM203 Project Management
BM212 Strategic Human Resource Management
BM214 International Business Management
BM301 Startup Entrepreneurship
BM311 Entrepreneurship in a Digital Age
 
Bonjour

Kuna hii kozi Ina itwa Digital marketing

Naomba maelezo ya kina kuhusu hii kozi,

Nawezaje kujiajiri?

Soko lake lipoje?
Digital marketing ni kazi inayohusisha kutafuta masoko ya bidhaa au huduma kupitia "digital channels".
Tofauti yake na traditional marketing ni kwamba ,traditional marketing inatumia traditional methods kama radio, Tv, mabango n.k.
Faida kubwa ya digital marketing ni specifity na data analysis.
Kwamba unatangaza huduma/bidhaa kwa walengwa wako maalumu kupitia channel wanazozitumia zaidi, pia unaweza kupata data zinazoonyesha umefanikiwa au umeshindwa kupitia campaign au maudhui yako. Tofauti na traditional marketing yenyewe ni Generalized na haina data
Digital marketing ina branch kubwa tano(5)
-Search engine optimization & marketing
-Social media management & marketing
-Email marketing
-Content marketing
-Paid advertising (google, meta ads etc)
Kozi ya digital marketing inatolewa na chuo cha CBE kwa hapa Tz.
Mimi ni expert digital marketer, kwa changamoto kuhusu digital marketing na jinsi ya kupata masoko kupitia mitandao .
Tuwasiliane hapa 0782 265 594
 
Mkuu Asante sana.. Vipi kuhusu fursa zake , Yani ujira wake na kipato
 
Fursa ziko mbili;
1. Kujiajiri
Hapa utakuwa freelancer unauza ujuzi wako kwenye masoko ya ndani na nje(fiverr, upwork, Guru n.k) kama kina Mafole n.k

2. Kuajiriwa
Katika hizo branch 5 unaweza kuajiriwa hapa nchini au nje. Changamoto ya soko la ndani ni wateja wengi hawajui wanataka nini,
Anza kwa kusoma foundation yote kuna free course nyingi ya Google ni nzuri zaidi, kisha chagua eneo moja jinoe sana hadi uwe expert utoboe. Kila la kheri mkuu
 
Asante sana.. Namba yako ninayo, nitakutafuta
 
Back
Top Bottom