Habari wana jamvi,
Serikali ya Marekani kwa mara nyingine tena imetoa fursa kwa watanzania kwenda kufundisha lugha ya kiswahili nchini Marekani kwa kipindi cha mwaka mmoja, ukipata nafasi hii...
Habari ya muda huu Wana JF,
Nimemaliza kozi ya utabibu NTA level 5 mwaka 2023, sasa nilikuwa kwenye process za kuomba leseni kupitia MCT, kwenye mfumo inagoma, nikitaka ku submit information...
Jamani mkwe wa samia emu fanya makeke kama uliyofanya kule utumishi,tamisemi wanazingua sana,imagine maombi ya uhamisho tena wa kubadilishana wamepokea toka juni sasa wanachakata nini mda wote...
Habari za muda huu watanzania wenzangu..Nilikua napenda kufahamu chuo gani kizuri kwa kozi ya kutengeneza vifaa vya kielectronics mfano Simu,Computer na TV,ada yake pia itakua ni kiasi gani?
Wakuu habari vipi, kuna mwamba ni mwalimu wa secondary katika shule fulani ya kata.
Ndoto yake kubwa ni kufundisha vyuoni hata kama vya kati, masomo yake ni HISTORY na KISWAHILI
na overall GPA...
Ni rais pekee aliyehakikisha mwalimu analipwa stahiki hii ambayo imepuuzwa upande wa bara.
Katika kada ambayo itaendelea kuwafanya viongozi wa bara waende na mzigo wa dhambi ni kuidharau kada ya...
Wandugu kuna mdogo wangu ambaye amehitimu kidato cha nne mwaka jana na wakati wa kujaza selform, alichagua kwenda chuo, sasa alikuwa anauliza ni kwa namna gani anaweza akapata connection hapo...
Hope ni wazima.
Wakuu nataka nifanye research itakayo tikisa dunia na ulimwengu wa sayansi kwa ujumla.
Wakuu naomba mawazo yenu je nifanye juu ya topic ipi??
Nina ndugu yangu anataka kusoma chuo cha nursing kwene hizi college lakini changamoto ni kujua kama kimesajiliwa au Laah!!
Maana kuna watu kama wanne wamesoma vyuo havijasajiliwa hivo hawaajiliki...
Habar natumai wazima nawaomba mnishauli
Nimemaliza diploma TPSC (Tanzania Public Service College) course Record, information and archive management GPA 3.0
Natamani niombe mkopo ilinendelee...
Habari wana JF,
Samahani naomba kuelekezwa tofauti ya kozi tajwa hapo juu.
Mimi nimechaguliwa kusomea Ualimu ngazi ya Technician Certificate in P.Education lakini kwenye chuo husika kozi...
Ukiwa kama mwandishi mchanga unajifunza nini kupitia Eric Shigongo? Waandishi wengi wanatamani kutoa vitabu lakini hawajiuliza kwanini Eric Shigongo hatoi vitabu kama zamani, kuna siri gani...
Habari wakubwa natumaini ni wazima wa afya.
Nami napenda kuchukua nafasii hii kuwaomba ushauri katika hii. Nimechaguliwa Bachelor of Science in Information Technology katika chuo tajwa apo juu...
Kumekuwa na changamoto ya mazingira ya chakula hasa katika hizi Shule za Serikali zinazowaweka Wanafunzi bwenini.
Mara kadhaa Wanafunzi wamekuwa wakilalamikia uhaba wa chakula lakini suala hili...
Tunaomba Mtufikishie malalamiko haya Ngazi za Juu
Habari wahusika wa Mtandao wangu pendwa wa Jamii Forums,
Kuna shida Mwanza katika Chuo kikuu cha SAUT ambacho ni takribani miezi minne sasa...