Nimefanya application ya diploma in health training colleges
Tatizo linakuja kwenye kuweka matokeo ya advance..Matokeo yana onesha grade za ufaulu wangu bila kuonesha somo husika (yani wanaonesha...
Niko na ndugu yangu amemaliza form four kwa alama ya maziro mengi anahitaji kujiendeleza kielimu ila hataki tena kumshirikisha mmasai (kurudia mtihani) jamani afanye nn ili ajiendeleze kwa elimu...
Habari za leo wakuu
Mimi ni mtanzania ambaye niliomba nafasi ya masomo ya MSc in Public Relations-Full time katika chuo cha Queen Margaret University Edinburg kwa mwaka mmoja.Nafasi nimepata...
Nataka kusoma Master on my own Sponsor...chuo gani wana offer hii kozi..!! Ila sipendi kusoma UDSM kwa sasa...wanabaniana sana na si kana kwamba nikilaza.
NOTICE TO 2012/13 LOAN APPLICANTS During the exercise of processing 2012/13 loan application forms the Board has identified loan applications which are missing some vital...
Hivi kweli elimu yetu inaenda wapi na lbda inategemea nini kwa kutoa matokeo mapema ya kidato cha nne na kuchelewesha selection, ,,,,mi naona haya ndo matokeo ya division five ndo maana...
Wadau mambo vipi.
Nipo namjazia mdogo wangu form za mkopo lakini kwenye kipengele cha Post Form Four Education panakuwa panagoma.
naomba aliyemaliza kujaza anielekeze jinsi ya kujaza hapo
Nimekua nafanya mahojiano na wanaosomea na waliopo katika ualimu kuhusu kada hii.Leo ukazuka mjadala wengi wanadai kua wanasomea ualimu mana kwao ni masikini wapate ajira haraka,wengine wanadai...
Habari wana jamvi, naulizia vyuo vinavyotoa degree ya education kwa muda wa jioni (evening classes) vipo? Viwe vya masomo ya biashara na uchumi au masomo ya arts. Mwenye tarifa navyo naomba...
Kila leo watu mnavutana kuhusu vyuo bora vya elimu duniani! Oh mara TEKU, sijui Makumira, oh sijui MUCCOBS, SUA, Mzumbe, SAUT, UDOM, Tumaini, sijui Lushoto! Sijui nini! Sasa angalia hizi rankings...
katika hii field ya ualimu kuna watu tunafanya vibaya sana niko ktk halmashauri flani huku kusini mwa tz nimeripoti tu juzi lkn kinachonikera shule nliopangiwa waalimu wa kiume aslimia kubwa...
Wadau naomba kuuliza,hivi mfano mtu akamaliza kidato cha 6 na matokeo yakatoka mazuri kuwa amechaguliwa chuo kikuu,akaamua kuminya mwaka huo ili aende mwaka unaofuata,nielezen ni hatua gan...
Msaada msaada!!!!!,
Ningependa mwenye taarifa zozote kuhusu shule hii "Umawanjo Secondary".
Napaswa kwenda huko ila sijui iko Wilaya gani kati ya Njombe au Ludewa!......
Wana Janvi...
Habari wannajukwaa wenzangu? Naomba kuuliza. Hivi ni tovuti gani ambayo inaweza nisaidia katika kupata materials kwa ajili ya kufundiaha somo la English kidato cha nne????
Hi guys..
Naomba kufahamu utaratibu uliowekwa na bodi ya mikopo kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo, wana-update vip taarifa zao ili kuendelea kupata mkopo kwa mwaka ujao wa masomo? I remember...
Hali ya maisha ya wanfunzi wa SUA ipo matatani.
Hii inatokana na kucheleweshwa kwa pesa zao za kujikimu kutoka loan board. Ni kama wiki ya tatu sasa imepita tangu tarehe rasmi ambapo pesa hiyo...
Salaam!!
Naomba kujulishwa kama kuna ulazima wowote wa form 6 waliomaliza mwaka huu kwenda jeshini kama walivyopangiwa. Je, ni lazima sana au mwanafunzi anaweza kuamua kutokwenda?? Na kama...