Mkuu si ufuate utaratibu wa kawaida, kwani nini kimeshindikana? Sidhani kama hapa kuna mtu anaweza kukusaidia KUPATA nafasi jeshini labda kama una-invite mambo ya rushwaNaomba mwenye msaada wakunisaidia niweze kupata nafasi ya kuingia jeshini. Msaada...