Heslb

Prince Akeem

JF-Expert Member
May 26, 2013
879
500
Wadau mambo vipi.
Nipo namjazia mdogo wangu form za mkopo lakini kwenye kipengele cha Post Form Four Education panakuwa panagoma.
naomba aliyemaliza kujaza anielekeze jinsi ya kujaza hapo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom