Jinsi ya kufanya update bodi ya mikopo elimu ya juu kwa OLAS

Mzee Dogo

JF-Expert Member
Nov 13, 2010
400
140
Hi guys..

Naomba kufahamu utaratibu uliowekwa na bodi ya mikopo kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo, wana-update vip taarifa zao ili kuendelea kupata mkopo kwa mwaka ujao wa masomo? I remember last year kulikuwa na link kwenye olas ila mwaka huu siioni, wameihamisha au imekuwaje??

Msaada tafadhari..
 
Kama Unahitaj Kuendelea Kupata Mkopo Unatakiwa Ku-update Thru OLAS Kwa Kulipia Elf Kumi Kwa Mpesa Then Utajaza 4m 1 tu. kwa maelezo zaid ptia heslb.org
 
Je, sasa hivi Ukiwa hauna D 3 huwezi kujiunga na Elimu ya juu maana nimesikia hizo Tetesi ila sina uhakika nasikia ukiwa una D 2 au E huwezi kupata nafasi ya Chuo
 
Back
Top Bottom