Umawanjo secondary

Cyriacus

Member
Feb 4, 2014
40
3
Msaada msaada!!!!!,

Ningependa mwenye taarifa zozote kuhusu shule hii "Umawanjo Secondary".

Napaswa kwenda huko ila sijui iko Wilaya gani kati ya Njombe au Ludewa!......

Wana Janvi,
Naomba mwenye kuifahamu shule hii anisaidie!.
 
Back
Top Bottom