Hiii jamani inawezekana?

mahirtwahir

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
577
250
Niko na ndugu yangu amemaliza form four kwa alama ya maziro mengi anahitaji kujiendeleza kielimu ila hataki tena kumshirikisha mmasai (kurudia mtihani) jamani afanye nn ili ajiendeleze kwa elimu ya juu anataka kusoma na uwezozo kifedha upo jee apige couse gani ili aweze kujinga na chuo kwa ngazi ya cheti yeye anataka asome PROCUREMENT & SAPPLY

MSHAURINI MUJUWAO
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom