Transcript kutoka NACTVET ina Matumizi gani?

Transcript kutoka NACTVET ina Matumizi gani?

MUHIZ

Member
Joined
Apr 18, 2015
Posts
40
Reaction score
6
Mimi ni mhitim wa kozi ya clinical assistant KUTOKA kwenye chuo flani hapa DAR nimefatilia transcript KUTOKA NACTVET na kufanikiwa kuipata hivyo napenda kujuzwa INA umuhim kwenye kuomba nafasi za kazi maana sehem nying wanahitaj vyeti na leseni.
 
Wewe ni assistant wa clinical officer,malizia huo mwaka 1 upate diploma kama hutaki kachukue cheti ingia MCT uombe leseni ya CA
 
Wewe ni assistant wa clinical officer,malizia huo mwaka 1 upate diploma kama hutaki kachukue cheti ingia MCT uombe leseni ya CA
Ahsante kwa ushauri mkulu ila chuo nilichosoma hawataki kuniombea cheti wanalazimisha nimalizie
 
Ahsante kwa ushauri mkulu ila chuo nilichosoma hawataki kuniombea cheti wanalazimisha nimalizie
Bora umalize tu umebakiza mwaka mmoja! kama changamoto ni ada nenda ofisi za nacte waambie hautaki kuendelea na diploma wakupe cheti cha CA,wanakuondoa kwenye mfumo level 6 unapata cheti level 5
 
Back
Top Bottom