sixlove JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 579 Reaction score 414 Jun 17, 2026 #1 Habari wapendwa, naomba mwenye kukifahamu kwa undani chuo tajwa hapo juu naomba msaada wako. Na kama ulishawahi kusoma huko itapendeza sana. Shukrani
Habari wapendwa, naomba mwenye kukifahamu kwa undani chuo tajwa hapo juu naomba msaada wako. Na kama ulishawahi kusoma huko itapendeza sana. Shukrani
sixlove JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 579 Reaction score 414 Jun 17, 2026 Thread starter #2 Habari wapendwa, naomba mwenye kukifahamu kwa undani chuo tajwa hapo juu naomba msaada wako. Na kama ulishawahi kusoma huko itapendeza sana. Shukrani
Habari wapendwa, naomba mwenye kukifahamu kwa undani chuo tajwa hapo juu naomba msaada wako. Na kama ulishawahi kusoma huko itapendeza sana. Shukrani
mhuri25 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 3,472 Reaction score 4,854 Jun 18, 2026 #3 Kama sijakosea ni chuo cha Wasabato!! Mengine sijui Mkui miaka hiyo nilipata soma na Dada mmoja chuo kasoma shule zao huko
Kama sijakosea ni chuo cha Wasabato!! Mengine sijui Mkui miaka hiyo nilipata soma na Dada mmoja chuo kasoma shule zao huko
mzalendo namba moja JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 755 Reaction score 1,394 Jun 18, 2026 #4 Njoo pm nikupe namba ya mmoja anasoma huko
M Matawi ya juu JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 7,247 Reaction score 13,650 Jun 18, 2026 #5 Hizi elimu za university are becoming useless and worthless, focus on skills utafika mbali