Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

Madihani

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
6,325
Reaction score
7,533
1>Nili apply mkopo wa Elimu ya juu,najaribu kuangalia kama nipo kwenye majina ya waliokosea lakini sioni taarifa yoyote,msaada jinsi ya kuangalia
2>Kuhusu application za vyuo,nili apply TCU tarehe 02/08/2015,kila nikijaribu kuangalia(Log in),najibiwa kuwa Email/Password sio sahihi,ushauri tafadhali mwisho ni tarehe 31/08/2015
 
1>Nili apply mkopo wa Elimu ya juu,najaribu kuangalia kama nipo kwenye majina ya waliokosea lakini sioni taarifa yoyote,msaada jinsi ya kuangalia
2>Kuhusu application za vyuo,nili apply NACTE tarehe 02/08/2015,kila nikijaribu kuangalia(Log in),najibiwa kuwa Email/Password sio sahihi,ushauri tafadhali mwisho ni tarehe 31/08/2015

Wanatakiwa kufanya application kupitia NACTE ni wale walio maliza diploma na kama wewe ni form 6 pure unatakiwa kufanya application kupitia TCU na sio NACTE mimi Isha ni cost sababu nimelipia Mala 2 Ile ya NACTE imebidi niisamehee
 
Back
Top Bottom