Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 619
- 371
Habari wakuu kuna tetesi kuwa NECTA wameridisha system ya zamani kwamba form six 2015 wanafanya mtihani wa taifa mwezi wa pili, je ni kweli? nimeuliza kwa sababu kuna jamaa amenipigia simu ameniambia hii ishu. Nimemuuliza source ni ITV.