nawatafuta graduates wa shule hizi humu jukwaani... tafadhali kama mpo, tutafutane kwa pm!

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
habari zenu wana jukwaa,

niko hapa mbele yenu kutafuta classmates wangu waliomaliza mwaka 2005 darasa la saba shule zifuatazo..

1. NYANZA PRIMARY SCHOOL ( NYANZA C )

2. MWENGE PRIMARY SCHOOL (DODOMA, VIJIJINI)

3. BORENGA PRIMARY SCHOOL (SERENGETI, MARA region)

4. KWATA PRIMARY SCHOOL (KOROGWE, TANGA)

Please kama mpo humu naombeni tutafutane kwa pm..!
 
Kiboko.

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
2,838
2,000
Ww toa upuuuz wako hapa graduate shule ya msingi?achek kuishusha degree bhana,nenda kwenye dictionary ya oxford 8th edition usome maana ya hlo neno ndo uje utafte hao wapori pori wenzio
 
Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
Mkuu Kiboko sorry kwa kukwazika..
There is no perfect human in this world!

By the way na wewe uwe mstaarabu! Hatuhitaji lugha chafu jukwaani hapa! Member mwenzio akikosea huna haki ya kumrekebisha kwa lugha ya kejeli!

Elimu yako na wewe ikukomboe kwa kiasi fulani!
Ww toa upuuuz wako hapa graduate shule ya msingi?achek kuishusha degree bhana,nenda kwenye dictionary ya oxford 8th edition usome maana ya hlo neno ndo uje utafte hao wapori pori wenzio
 
Last edited by a moderator:

Kwetu Ngoreme

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
492
195
Borenga primary school LY2000!! Kitambo sana nilisoma, wapi Mwl. Mahewa, Mwl Eliza, Mwl Kojo.
 
Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
Mkuu nguvumali nahisi wantia presh bure! Kwenye hio shule nilisoma mwaka 2003, kuna jamaa yangu alikuwa anaitwa RICHARD ROBERT, dogo alikuwa na akili sana kiujumla!

Lakini cha ajabu mwaka 2009 naona hakufanya mtihani wa taifa pale magoma sec school.

Namtafuta sana huyu jamaa!
haahaaah Excel tuliaaa
 
Last edited by a moderator:

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
Duh! Mkuu wewe kweli wa zamani sana! Mi nilihama hapo mwaka 2000 nikielekea tanga!

Nadhani unalijua sana jina la ukoo wa bachuta! Borenga juu ndio nyumbani!

Unamkumbuka mwalimu fanuel?
Borenga primary school LY2000!! Kitambo sana nilisoma, wapi Mwl. Mahewa, Mwl Eliza, Mwl Kojo.
 
Neema William

Senior Member
Jan 3, 2012
171
225
Duuu shule zote hizo ulipita wewe Excel? Mara,Ddm,Tanga na mkoa upi sijui duuu, ulikuwa unahama mikoa tu,inaelekea ulianza utundu mapema wazazi wakawa wanaepusha soo unahamishwa mkoa
 
Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
Mkuu neykishey, shule zote hizo nilipita kwa kusoma miaka tofauti tofauti! Wala hata usiwe na wasi wasi! Si unajua tena wazazi wakiwa kama wakuu wa shule, at any time t mnahamishwa! Halafu na utundu pia unahusika kwa kweli!
Sasa sijui kwanini nguvumali classmate wangu kanikimbia jamani!

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,495
2,000
habari zenu wana jukwaa,

niko hapa mbele yenu kutafuta classmates wangu waliomaliza mwaka 2005 darasa la saba shule zifuatazo..

1. NYANZA PRIMARY SCHOOL ( NYANZA C )

2. MWENGE PRIMARY SCHOOL (DODOMA, VIJIJINI)

3. BORENGA PRIMARY SCHOOL (SERENGETI, MARA CITY)

4. KWATA PRIMARY SCHOOL (KOROGWE, TANGA)

Please kama mpo humu naombeni tutafutane kwa pm..!

Aisee nyie Wakaree... mlikuwa mnagraduate darasa la saba!??
 
Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,413
2,000
Nyinyi ndo dot.com haswahaswa na ndo mna mihemko ya kuvaa kata ----- sasa hamna tofauti kati ya mvulana na msichana,yaani nyote mmelegea sura,mmelegea sauti mpaka macho yenu yamelegeaaa,mnapaka poda ...nyinyi watoto nyinyi!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom