Msaada

Msaada

denestumain

Senior Member
Joined
Sep 20, 2014
Posts
172
Reaction score
152
Naomba anayejua namna na kuapply diploma courses hasa kama naweza pata application forms ya St Joseph university anisaidie
 
Heh kwa nn mkuu

mkuu hujasikia malalamiko kuhusu chuo cha st.joseph? Yan mkuu hicho chuo achana nacho kabsaaa. Kuna uzi ushawahi kuanzishwa kuhusu chuo cha st.joseph na kuna wadau wanaosoma huko wanatutahadharisha kuhusu hicho chuo!
 
Dah sawa kaka asante sana
 
Wakuu msipotoshe jamii kwani kasema anataka kusoma ipi st joseph vipo vingi msikariri Kile cha arusha peke,ila mie nakushauri ungesema kwanza unataka kusoma diploma ya nini,alafu ndio wadau wangekushauri humu,St joseph sio vyote vinazingua.
 
Back
Top Bottom