Munamuge
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 907
- 903
Nahitaji kupata msaada kwa anaefahamu taratibu za kupata Admision ya vyuo vya Afrika Kusini ikiwemo
1. Muda wa kufanya application
2. Njia ya kufanya application
3. Gharama za masomo kwa vyuo vya gharama nafuu
4. Gharama za maisha kwa ujumla
Na vitu vingine ambavyo vinaweza kuwa muhimu.
NB; Masomo ya Biashara na Uchumi.