Nimepitia majina ya wanafunzi walioomba mikopo kwenye Bodi ya Mikopo.
Waombaji zaidi ya 7,000 kwenye fomu zao kuna dosari nyingi kabisa. Wapo walioshindwa kuweka saini zao kwenye fomu...
Natafuta Mwalim wa ngazi ya sekondari ili tubadirishane vituo vya kazi yeye aje wilaya ya Rufiji mkoani Pwani na mimi niende kati ya wilaya hizi: Sengerema,ilemela, Misungwi mkoani Mwanza lkn hasa...
Ili kuimarisha taaluma katika shule zetu za msingi na sekondari, napendekeza tuanzishe mpango wa kitaifa wa kuwapatia zawadi za kitaaluma kila robo mwaka wanafunzi wetu kuanzia darasa la Awali...
Wadau mnaojua what is GRE and GMAT tests, naomba kujua tests hizo naweza kufanyia wapi kwa hapa TZ? I do not mean TOEFL.
Unajua mtu yeyote anayeweza kunisaidia kupata hizo TEST kirahisi? Mwenye...
Jaman mie naanza mapema kabisa kutafuta wakunibeba kwa wale mnaokuja udsm naomba yeyote ani PM---NITALIPIA SEMISTER MOJA AFU NYINGINE UTALIPIA WEWE,kwa wasiojua maana ya kubebwa ukija udsm utajua...
Kwa wale mlio apply vyuo kuweni wapole na muwe na subira maana bado kidogo tuu.
Mkumbuke kujiandaa vyema. Maana leo mnatamani iwe hata kesho lakini maisha ya chuo ni magumu kwa wengi na mazuri kwa...
Wadau naomba tofauti ya EMS na FAX katika utumaji wa barua, njia zote hizi sijawahi zitumia.
Kuna mtu kanielekeza nimtumie barua haraka kwa EMS leo, sasa nimeiandaa nashindwa nifanyeje kwani...
jaman wadau habar zenu, wazima nynyi emb nipen gharama za kusoma hizo level za medical doctor kwa vyuo vya muhas na kairuki na vyuo vingine vya serikali na inachukua mda gani. ntashukuru sana
Mwenyepangilio rasmi wa topics za sekondari, form 3 na 4. Tafadhali nitumie kwenye e_mail: campbelllee15@hotmail.com au Whatsapp no. 0716322728. Shukran.
Ndugu wanajamvi! Napenda kuulizia kama kuna watumishi (walimu sekondari) walioajiriwa 2011,na wanastahili kupanda madaraja na hawajapanda?.Je kuna watumishi ambao wamepandishwa madaraja kwa wale...
Wadau sheria za utumishi wa walimu zinaruhusu mtu kuomba likizo ya kwenda masomoni kwa kujiunga na chuo kikuu huria kusomea shahada ya elimu? Au ikoje, karibuni!
naomba msaada kwa anayefahamu, kama umechaguliwa uende ukasome diploma ya ualimu na uliapply koz ya afya ukawa hujaenda ukisubir selection za chuo unaweza ukachaguliwa ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.