Msaada:NTA Level 8 inatolewa kwa muda gani.

SODOKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,654
Reaction score
724
kama NTA level 7 ni advanced or higher diploma inatolewa kwa miaka miwili ,je ukiwa na NTA level 7 utasoma NTA level 8 or degree kwa miaka mingapi???

nazungumzia ualimu.
 
ualimu? Kha ualimu na NTA kvp tena?

hauko updated kabisa....Nacte wametoa ualimu wa higher diploma ambayo ni NTA level 7 kwa wenye sifa ya NTA level 6 na form six leaver wenye principle mbili ambao wanaweza kusoma degree
 
Mkuu itakuwa ni mitatu tu, we ona kilimo certificate unasoma miaka miwili NTA 4&5 na diploma miaka miwili NTA 5&6 tayari unakuwa umesoma miaka mine na NTA 5 umeirudia pia jiwe nazani unasoma NTA 6,7&8 ambapo NTA 6 unairudia tena
 
kama NTA level 7 ni advanced or higher diploma inatolewa kwa miaka miwili ,je ukiwa na NTA level 7 utasoma NTA level 8 or degree kwa miaka mingapi???

nazungumzia ualimu.

Hakuna advanced diploma ya miaka 2,huwa miaka 3,Tanzania hatuna higher diploma
 
hauko updated aisee...Nacte wametoa mpya zaidi ya mwez...unasoma advanced diploma ya ualimu kwa miaka miwili yaan nusu degree..wasiwas wangu hawajatoa mwongozo baada ya kumaliza iyo advanced diploma ambayo wao wanaita higher diploma ya ualim wanatoa kwa miaka miwili yaan NTA level 7 ,je NTA level 8 ambayo nd'o degree wataitoa kwa muda gan na chuo kipi hapa tz
 
Hiko kitu hakijaanza mwaka huu... Vyuo vyote ambavyo vipo under nacte huo ndio utaratibu wanaotumia... 2013 nilifanya application kupitia TCU ya kusoma BBA chuo cha NIT... nikachaguliwa pale ila nilipofika ndio nikaugundua huu utaratibu iko hivi

NTA LEVEL 4...
Hii ni basic technician certificate ambayo hutolewa kwa mwaka mmoja, vigezo vya kujiunga ni uwe umemaliza kidato cha 4 na una D kuanzia nne au una cheti cha NTA level 3 kutoka vyuo vya veta

NTA LEVEL 5
Hii ni full technician certificate ambayo pia ni mwaka mmoja, vigezo vya kujiunga uwe umemaliza kidato cha 6 na walau una principal moja au uwe una cheti cha NTA level 4 kutoka chuo kinachotambuliwa na NACTE

NTA LEVEL 6
Hii ni ordinary diploma ambayo ni mwaka mmoja, kigezo cha kujiunga uwe na cheti cha NTA level 5 kutoka chuo kinachotambuliwa na NACTE

NTA LEVEL 7
Hii ni higher diploma ambayo hutolewa kwa miaka miwili, vigezo vya kujiunga uwe umemaliza kidato cha 6 na walau ufaulu wa principal 2 au uwe na cheti cha NTA level 6 kutoka chuo kinachotambuliwa na NACTE... Hii ni digrii mwaka wa kwanza na digrii mwaka wa pili...

NTA LEVEL 8
Hii ndio bachelor degree sasa ambapo hutolewa kwa mwaka mmoja na kigezo cha kujiunga ni kuwa na cheti cha NTA level 7 kutoka chuo kinachotambuliwa na NACTE

So digrii mwaka wa kwanza na wa pili ndio higher diploma na uzuri wa mfumo huu unaweza ukasoma miaka yako miwili ukapewa cheti chako ukaingia mtaani then ukaja kumalizia digrii yako huko mbeleni

aisee umejibu vizuri sana ,,ahsante sana
 
hauko updated kabisa....Nacte wametoa ualimu wa higher diploma ambayo ni NTA level 7 kwa wenye sifa ya NTA level 6 na form six leaver wenye principle mbili ambao wanaweza kusoma degree

Ahsante kwa taarifa
 
Hiko kitu hakijaanza mwaka huu... Vyuo vyote ambavyo vipo under nacte huo ndio utaratibu wanaotumia... 2013 nilifanya application kupitia TCU ya kusoma BBA chuo cha NIT... nikachaguliwa pale ila nilipofika ndio nikaugundua huu utaratibu iko hivi

NTA LEVEL 4...
Hii ni basic technician certificate ambayo hutolewa kwa mwaka mmoja, vigezo vya kujiunga ni uwe umemaliza kidato cha 4 na una D kuanzia nne au una cheti cha NTA level 3 kutoka vyuo vya veta

NTA LEVEL 5
Hii ni full technician certificate ambayo pia ni mwaka mmoja, vigezo vya kujiunga uwe umemaliza kidato cha 6 na walau una principal moja au uwe una cheti cha NTA level 4 kutoka chuo kinachotambuliwa na NACTE

NTA LEVEL 6
Hii ni ordinary diploma ambayo ni mwaka mmoja, kigezo cha kujiunga uwe na cheti cha NTA level 5 kutoka chuo kinachotambuliwa na NACTE

NTA LEVEL 7
Hii ni higher diploma ambayo hutolewa kwa miaka miwili, vigezo vya kujiunga uwe umemaliza kidato cha 6 na walau ufaulu wa principal 2 au uwe na cheti cha NTA level 6 kutoka chuo kinachotambuliwa na NACTE... Hii ni digrii mwaka wa kwanza na digrii mwaka wa pili...

NTA LEVEL 8
Hii ndio bachelor degree sasa ambapo hutolewa kwa mwaka mmoja na kigezo cha kujiunga ni kuwa na cheti cha NTA level 7 kutoka chuo kinachotambuliwa na NACTE

So digrii mwaka wa kwanza na wa pili ndio higher diploma na uzuri wa mfumo huu unaweza ukasoma miaka yako miwili ukapewa cheti chako ukaingia mtaani then ukaja kumalizia digrii yako huko mbeleni

Mkuu umefafanua vyema kbs. Na ndivyo ilivyo
 
Back
Top Bottom