Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 953
- 413
Habari za asubuhi wadau....
Kwa wale waliochaguliwa special program udom na wale wanaosubiri kudahiliwa kupitia nacte... Majina yawalio kosea huwa yanatoka chuoni.
Maana sisi mwaka jana yalitoka tukiwa chuoni kabisa, kwahiyo usihangaike kutafuta jina lako in a case that ukahisi halipo kwenye orodha ya waliokoseaa because hata heslb wakitoa majina ya generally kwa waliopata mikopo nyie majina yenu hayata kuwepo.
Kwahivyo basi usije kupanic kuwa jina lako halipo.because hamna mtu atakaekosa diploma maalumu na majina yatatoka mkiripoti chuoni.
Kila la kheri na maandalizi mema....