Willy mayor
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 346
- 44
Habari wakuu me ninaomba kwa anaefahamu ada ya boarding kwa shule ya secondary makongo kwa mchepuo wa science anijuze tafathal?
Hiyo shule imepoteza mvuto madogo wanaendekeza u sister du na u brotherman.. Shule enzi za Kipingu ukiipata nafasi unatoa machozi ya furaha na kulikuwa na mchujo mkali huku ukichagizwa na mpela mpela wa afande Miraji(rip), Afande Yeyeye (rip), afande Kisarika bila kumsahau Babu Chacha.. Siku hiz ysmebaki majengo tu
Ada yake ipoje mkuu?