tangazo tangazo tangazo

tangazo tangazo tangazo

JEliud

Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
8
Reaction score
0
naomba tubadirishane vituo vya kazi mm nipo pwani wilaya ya rufiji nataka mwalimu kutoka wilaya hizi: sengerema ilemela au misungwi tumia namba hii 0716230503
 
Dah mkuu we baki tu huko uchezena nyani..izo wilaya ulizotaja zote mjini
 
napajua sana Rufiji ,,,ni maporin mno huko baki tu huko ,ww ulisomea ualimu ili iweje..au kama vp acha kazi njoo tufanye biashara huku dsm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom