Kwani Maaskari Wananunua Uniform??
Kwakweli hata mi huwa natamani sana uniform
especially nikiwaona askari magereza wanawake napenda sana uniform zao shirt white na skirt ya brown
au traffic wanapendeza sana
shogaa??!!! mi natamani sare tu ili nipunguze bajeti ya nguo pair zangu 3 akhaaaa mwaka. hebu mungu saidia sare zije
shogaa??!!! mi natamani sare tu ili nipunguze bajeti ya nguo pair zangu 3 akhaaaa mwaka. hebu mungu saidia sare zije
So what? alafu wewe dogo hujielewi kabisa. Hako kadegree kako naona hakakusaidii kabisa. Mbona ulipokuwa chuo ulikuwa unavaa jeans wakati wewe ni mwalimu by professional? Mara nyingi nafuatilia post zako huwa unaandika pumba tuu, BRN wewe
Sare is nothing! teachers need better life.
Warudishe posho ya kufundishia, walipe madeni yote ya walimu ikiwa ni pamoja na ya kupandishwa madaraja, uhamisho, matibabu, mazingira magumu ya kazi, likizo, malimbikizo ya mishahara etc.
Sometimes you need to relax heeeeeeeWalimu wanataka maisha bora, na mishahara minono we unataka sare Ila sishangai mwezi mchanga huu machizi wameanza kuchizi