Website nzuri za kuchukua past paper za necta

Website nzuri za kuchukua past paper za necta

remedy50

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
675
Reaction score
289
hali zenu wana jf nilikuw natk kuelew je ni website gan m2 anaweza kudownload paste paper za necta za masomo yote anaejuw tafadhal anijuze.
 
ingia katika website hii maktaba.tetea.org/past-exams/csee/ au andika katika google csee exams... utaona hapo sehemu imeandikwa maktaba, au kama ni ACSEE andika acsee exams utaziona...

lakn lazma Uwe na application katika simu yako itayoweza kuyafangua . Ambayo ni PDF reader
 
Back
Top Bottom