Msaada wa chuo cha c.o

Msaada wa chuo cha c.o

Willy mayor

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
346
Reaction score
44
Wakuu msaada tafathal kwa anaejua chuo/vyuo vya clinical officer idara ya private vyene ada isiyo zidi MILIONI 2 .Msaada wenu unaitajika wakuu coz nataka kuxoma mwaka huu!! Ahsanteni WAKUU
 
mkuu mbona ni kama umechelewa...?

lakini chuo kwa hiyo ada ninakifahamu cha St.Bakhita, kipo Nkansi kupita sumbawanga... ni cha wakatoliki na kuna hosteli na chakula mnapewa.
 
Back
Top Bottom