dragon ball
Member
- Jul 17, 2015
- 57
- 4
Hivi kuna ulazima kusoma IT au Computer Science lazima uwe umesoma PCM au PCB? Maana nashindwa kuelewa wanaposema uwe lazima umesoma Physics. Naombeni msaada kwa mliosoma kozi hizi,maana TCU kuna maamuzi ya vitu vingine naona kama sio makini...