Tetesi Kuhusu Kupanda Madaraja

Tetesi Kuhusu Kupanda Madaraja

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,279
Reaction score
12,041
Kuna Boss Alikua Anasema Kwamba Kupanda Daraja Kwa Sasa Haitegemei Miaka Uliyofanya Kazi.Wengi Tunajua Kila Baada Ya Miaka 3 Tunapanda Daraja.Ni Kweli Lakini Unaweza Ukae Hata Miaka 7 Hupandi Daraja Kama Utendaji Wako Wa Kazi Hauridhishi.Utoro Kazini,kuchelewa,ruhusa Sizizo Na Msingi Kila Wakati,kugombana Na Boss Wako.Wakuu Wanapata Barua Za Siri Kuulizwa Kua Unastahili Kupanda Ama La.Wakuu Wamepewa Madaraka.Kwa Hiyo Ile Dhana Ya Kupanda Daraja Kwa Kipindi Fulani Itaendana Na Utendaji Wak😵ver.
 
barua yakupanda daraja au opras ambayo inajazwa wazi nawe ukiwepo.
wanaogombana na maboss huku kwetu ndo wanapandaga haraka maana wana wakubwa huko , japo utendaji mbovu nao ni haki usipande endapo tu wangekuwa wako fair kwa wote.

kuna sehemu yakukoment apande daraja kabla ya wakati kama ni mtendaji excelent ...
 
Hivi Inakuaje Mtu Anakaa Miaka7 Hapandi Daraja?
 
Back
Top Bottom