Msaada mwenye kujua ada ya jitegemee secondary

NGOSWE2

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
1,424
Reaction score
1,713
Habari ya mida hii waungwana. Nahitaji msaada kwa yeyote anayejua gharama za ada katika shule ya jitegemee secondary kwa day. Natanguliza shukrani.
 
Wasiliana na huyu 0714226080/0755448297
 
Habari ya mida hii waungwana. Nahitaji msaada kwa yeyote anayejua gharama za ada katika shule ya jitegemee secondary kwa day. Natanguliza shukrani.

mwanzoni mwa mwaka ilikua 720,000 kwa sasa itakua imepanda kidogo kama laki nane naaa sina hakika.
ni shule yenye mikakati bora ya kufaulisha vijana haswa ukiwa na malengo ya kutoka.
 
Nashukuru sana. Ngoja niwatembelee!
 
Back
Top Bottom