Ninaomba mnisaidie ni sehemu gani pale wizarani wanahusika na malalamiko kuhusu TCU. Kuna kitu very serious TCU nimewaambia lakini wananiletea mzaha. Nimejaribu kutafuta contacts zao za simu...
anayejua kozi za afya zinazotolewa katika chuo cha udom anijuze kuna mdogo wangu nataka nimpeleke pale akasomee afya maana malengo yake ni kuwa daktari hapo baadae
Naomba mwenye taarifa yoyote kuhusu second selection ya watakaojiunga na form five, maana kuna habar zinazagaa kwamba majina na shule watakazoenda yashatoka.
ILIANZA KAMA NDOTO KUWA SIKU MOJA NTAPANDA MLIMANI KUSOMA LAW,NAOMBA WADAU WOTE WENYE UZOEFU NA LAW WATUPE MUONGOZO WADOGO ZAO JUU YA PROFESSIONAL HII,MUHIMU KATIKA JAMII YOYOTE ILE DUNIANI...
wadau heshima kwenu,
nimepokea email toka nacte ikinitaka ni upload full diploma transcript wakat mwanzo nili upload,je kuna tatizo endapo nita upload tena au kuna mtu ilishawah kumtokea hii?best...
Wa JF nlikua nauliza iv...unaweza ukachaguliwa vyuo zaid ya viwil kwenye zile selection5...na je tcu wanaweza kukupa nafc ya kuchagua kimoja kat ya hivyo...yan ww mwwnyewe binafc unataka kusoma...
ni bodi gani inaanza kutoa majibu kati ya tcu na bodi ya mikopo m maana naona HELSB wapo kimya wakat ndo tulianza kuomba kabla hatujaomba vyuo na tayar saiv baadh ya vyuo vishatoa majib
Habari wanajamii forums.Naomba Mjadala Huu utupatie ufumbuzi yakinifu katika jambo hili.Je ni kwanini wanafunzi wengi wanashindwa zaidi katika masomo ya sayansi mashuleni kuliko masomo ya sanaa na...
Diploma holders tulioapply bachelor kupitia NACTE, hadi sasa hivi hakijaeleweka, sasa hivi watu hawaelewi tatizo ni nini hadi kuchelewesha selections kiasi hiki, mara capacity zibadilike to 0 mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.