nipo idara ya msingi, natafuta mwalimu wa kubadilishana nae, yeye aje Kilwa (Lindi) na mimi niende Singida manispaa. Tuwasiliane kupitia 0755015152 au 0673615848
wakuu umofia kwenu!!
Nina mdogo wangu kachaguliwa kagango sek. huko Kagera! kama machaguo ya pili!! sasa naona akisubir barua ya kujiunga atachelewa!!
Naomba mwenye kujua mahitaji muhimu...
Husika na kichwa cha habari hapo juu kulingana na Chuo kukosa huduma ya hostel
Luna hostel binafsi around campus kama unahitaji nitafute 0713519111 kwa maelezo zaidi!!!
Kumbuka nafasi ni...
Habar Zenu Wana Jf! Kama Nilivo Tangulia Kuulaza Nikwamba Nahitaji Nakuomba Kufahamu Kwamba Mtu Anaye Soma Koz Ya Community Development Anaweza Kufanya Kazi Gan Na Haswa Anaweza Kupata Kazi Hyo...
:crying::crying::crying::crying:NAOMBEN MNISHAURI
nilimaliza kidato cha nne mwaka jana nina miaka (19) jinsia me) mchepuo science nina GPA 3.4
niliumwa hivyo nilirudishwa nyumbani kwa ajili ya...
Matokeo kwa waliiomba kozi za afya kupitia NACTE yako tayari ingia kwenye profile tako uone.
Kila lakheri waliochaguliwa jitahidi kucomfirm mapema kabla ya tarehe 16
Habari zenu wakuu.. Nlikua naomba msaada kama kuna anaejua mambo ya scholarship ya udaktari nk... Nme apply tcu wamenitema.
Nmepata credit ya gpa 2.3
biology B+
Chemistry C
Physics D
Bam B
Gs C
Nina GPA ya 3.0 chem b+,bios b,physics c,GS na bam cNimeomba nafasi muhas, kcmc, bugando na udom MD Mara ya kwanza sijachaguliwa lakini cha ajabu nimeangalia remaining capacity ya vyuo lvo Kwa MD...
Heshima mbele wadau,
Naombeni msaada katika hili.
Nina Shangazi yangu amestaafu kazi ya ualimu mwaka January 2010 katika Manispaa ya Ilala, Mpaka sasa anafuatilia mafao yake,
Hatua tuliyofikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.