Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

When I typed “free online courses” into Google, I got a lot of hits. Most of the results were not useful as many of them were not helpful or not having any free courses. Not any student has time...
3 Reactions
8 Replies
5K Views
nacte manafungua lini watu tuombe vyuo maana TCU wamefanya hivyo na kuwafanya 4m six waliokuwa uwa hawajaomba vyuo waombe na wengine wafanye marekebisho. vyuo vingi kwa ngazi ya diploma matokeo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wakuu nikilog in kwenye profile yangu ya bodi ya mikopo inagoma kufunguka.. kuna tatizo au? msaada tafadhali
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba Kujuzwa Kiasi Cha Ada Za Masters Ya Elimu Hasa Kozi Za Education Management Na Zingine.Nategemea Baada Ya Miaka Miwili Nikasome.Ni Ili Nifanye Maandalizi Ya Fedha.Wabillah Tawifiq
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu second selection ya NACTE 2juuze plzz "No joking"
0 Reactions
7 Replies
2K Views
TANGAZO MAALUM: Chuo cha Kampala International University kilichopo hapa Dar es salaam-Gongolamboto kinapenda kuwatangazia nafasi za masomo kwa watu wote walio maliza kidato cha nne, kidato cha...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
ndugu zanguni natumainibwazima wa afya, eti ukisoma course ya BSc in biology utakuja kuwa nani au utafanya shughuli gani??? naomben mnieleweshe ajirabzake nimeiona university of bagamoyo na udom
0 Reactions
28 Replies
10K Views
wakuu naomben msaada wenu nahtaji kubadl email yangu ya nacte 7bu password zake kama email hazifunguk bal za nacte ndizo hufunguka kwahiyo wasiwasi wangu n kama NACTE wakinitumia info yoyote...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
njoo arusha na mimi nije morogoro au tanga. idara secondary. 0755707867
0 Reactions
4 Replies
1K Views
mwenye taarifa yoyote kuhusu TEKU Mbeya
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar Zenu Wadau ! Kwa Anayeifahamu Shule Ya Iwawa Sec Tafadhal Naomba Anisaidie Namb Za Mkuu Wa Shule Au Anipe Maelekezo Ya Hyo Shule Tuwasiliane 0769478172 Au 0673478172 ,shukuran
0 Reactions
0 Replies
3K Views
TANGAZO MAALUM: Chuo cha Kampala International University kilichopo hapa Dar es salaam-Gongolamboto kinapenda kuwatangazia nafasi za masomo kwa watu wote walio maliza kidato cha nne, kidato cha...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Habari za wakati huu?wadau hivi ulishawahi kusikia juu ya scholarship hebu jaribu kufuatilia mara kwa mara katika website za wizara ya elimu(moe.go.tz) pia na tume ya vyuo vikuu(tcu.go.tz)...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna majina yametolewa, yamebaki machache kama 1180 tuu. Swali, je kwa waliyoyaona jana leo hakuna ina maanisha kuwa wapo safi? Yaani aliyeedit yale majina hajabadili hata tarehe na muda aliotoa.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau naomba kujua yanakopatkana majina ya second selection kwa form 5 2015
0 Reactions
0 Replies
2K Views
The National Council for Technical Education would like to inform the following applicants for Bachelor Degree Programs that upon analysis of applications, their information is incomplete...
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Kutoka Tanga Kilindi kwenda songea s/m 0752253329
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Jana nlkua nkijaza TCU.cas second selection nlipoingia nkaambiwa naweza zaja course mpaka 5 wakati nkiwa nasearch cha ajabu nmeona course za udsm zkiwa bado hazijajaa na kuna remaining capacity...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba niulize wapi naweza kupata majina ya waliochaguliwa na vyuo?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
NACTE wametoa majina kwa watu taarifa zao zimemisi BACHELOR DEGREE APPLICANTS MISSING DIPLOMA QUALIFICATIONS - NACTE
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom