juwaji peter
Member
- Sep 15, 2015
- 41
- 9
Inakuwaje kwa waliopewa nafasi second round selection,majina yao yatatoka tofauti au yanaambatanishwa waliotangulia kupangiwa
Kwa kawaida huwa hutolewa tofauti. Kwa hiyo usiwe na wasiwasi yatatoka kama uliambiwa kuna second selection.