Kozi za afya chuo kikuu dodoma(UDOM)

Kozi za afya chuo kikuu dodoma(UDOM)

ALU255

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
2,089
Reaction score
2,126
anayejua kozi za afya zinazotolewa katika chuo cha udom anijuze kuna mdogo wangu nataka nimpeleke pale akasomee afya maana malengo yake ni kuwa daktari hapo baadae
 
muda wa application umepita ila kuna kozi ya ukunga na unesi
 
muda wa application umepita ila kuna kozi ya ukunga na unesi

dogo kapata nafasi pale ila anataka abadilishe kozi akiwa chuoni so zipo kozi hizo mbili tu?..nipe future za hiyo ya ukunga
 
Mkuu hata mm ninepagwa huko ila malengo yang nikua daktar. Kama vp nichek tupeane mainfo.
0716270746
 
Back
Top Bottom