Unachaguliwa chuo kimoja tu.yan maswali ya wahitimu wa six siku hizi
unachagulia sehem moja 2 ambyo umefit ,au wewe una miili miwili??Wa JF nlikua nauliza iv...unaweza ukachaguliwa vyuo zaid ya viwil kwenye zile selection5...na je tcu wanaweza kukupa nafc ya kuchagua kimoja kat ya hivyo...yan ww mwwnyewe binafc unataka kusoma kip kat ya hivyo vyuo ulivyochaguliwa?
Aisee.. Inaonesha we ni muangalia TAMTHILIA mzuri.Wa JF nlikua nauliza iv...unaweza ukachaguliwa vyuo zaid ya viwil kwenye zile selection5...na je tcu wanaweza kukupa nafc ya kuchagua kimoja kat ya hivyo...yan ww mwwnyewe binafc unataka kusoma kip kat ya hivyo vyuo ulivyochaguliwa?
Huwa inatokea applicant anachaguliwa zaidi ya chuo kimoja.Mwisho wa siku TCU hutoa orodha ya applicants hao na wao wanatakiwa waachague moja kati ya vyuo hivyo.Hii huwa inatokea sana hususan kama applicant alishafanya yake ya kuapply directly kwenye vyuo visivyotumia Central Admission System kama vile MU ya Morogoro