Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naomba kuuliza hivi kuna jkt mwakahuu kwa walimu waliotoka vyuo 2015?
0 Reactions
11 Replies
4K Views
salam kwenu wana jf mwenye kunjuza juu ya maswali haya 1. kuna upatikanaji wa hstel hapo saut 2.inaruhusiwa kuhama campus 3.ni vipi upatkaji wa hosteli na vipi zina limitation au laa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tulishuhudia mwaka uliopita bodi ya mikopo ikiweka wazi mapema kabisa idadi ya walioomba mikopo na idadi ya watakaokosa lakini mwaka huu mpaka sasa bodi haijaweka wazi idadi ya wanafunzi walioomba...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
kwa anaekifaham East Africa Statistical Training Center kipo vip
0 Reactions
0 Replies
693 Views
WATANZANIA WENZANGU, HIVI KARIBUNI BODI YA MIKOPO ILITOA TAMKO LA KUWATAKA WAAJIRI WOTE KUANZA KUKATA 8% YA MISHAHARA YA WAAJIRIWA WAO AMBAO NI WANUFAIKA WA MIKOPO YA HIYO BODI KILA MWEZI (INCOME...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Je ni sawa mtu anaesoma chuo kuingia degree kuanza degree sambamba na yule aliepitia advance na diploma n miaka 3 na advance 2. Je wataanza chuo pamoja.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu mwenye taarifa yoyote atufahamishe kuhusu majibu ya community health.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bachelor of arts in early childhood éducation na Bachelor of arts in industrial relations kuhusu soko la ajira, kazi zake ni zipi hasa, maeneo unakoweza kufanya kazi.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
nimechaguliw diploma ya physiotherapy kcmc vp kwa upande. wa ajira ni chap mxaada please
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wakuu mfano umechaguliwa bachelor of education With arts ambayo ina mkopo Udom unataka kutransfer kwenda bachelor of education with administration hapo hapo Udom ambayo haina mkopo, Vp hapo...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Kama moja ya njia za kuinua kiwango cha taaluma katika shule zetu za Msingi na Sekondari, napendekeza tuanzishe Mpango wa Kitaifa na wa kudumu wa kuwapatia zawadi za kitaaluma kila robo mwaka...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Jamani mimi naomba mwenye mawasiliano (namba za simu) za shule ya St. mary's ya mbeya ya wasichana (advance) anisaidie ,, then na anaefaham ada yao asisite kunambie ata matokeo yao ya kidato cha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
HABAR WADAU, JANA KWENYE EMAIL YANGU YA GMAIL NILIPOKEA EMAIL HII HAPA CHINI KUTOKA KWENYE EMAIL HII awards@nacte.go.tz. ,CHA AJABU NAMBA ZOTE ZILIZOPO HAZIPATIKANI,NIMEKUWA NIKIJARIBU KUZIPIGA...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Samahan wadau naomba kuuliza hii kozi inakuaje hususan ajira yake unakua nani na utafanya kazi wapi vilevile ukitaka kujiendeleza unaweza kusomea kitu kingine au kozi hii hii tena? Nawasilisha...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamani at ardhi nao wametoa majina kwa wale walo apply???
0 Reactions
9 Replies
3K Views
jaman msaada wa pdf ya selection za udsm au mniangalizie jina anord richard sanga na musa m ambonisye
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Guys nacte wanatoa lin aise majina maan hatuelew elewi wako kimya
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji NIT kimeamua kuwafelisha kwa makusudi wanafunzi 40 ngazi ya cheti katika course ya manunuzi na ugavi. Inadaiwa walimu kwa kushirikiana na mkuu wa idara wameacha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
HABARI ISIYOKUWA NA UBISHI; NASEMA HIVI, KAMA UMESOMA CHUO MIAKA MITATU MPAKA UNAMALIZA NA HUJAWAHI KUPATA SAPU ANGALAU 3, BASi WE' NI MWOGA NA YAFAA URUDISHWE TU CHEKECHEA ANGALAU KWA MIAKA...
0 Reactions
91 Replies
15K Views
Back
Top Bottom