Profile inanigonea ntapataje matokeo? Msaada pls.

Profile inanigonea ntapataje matokeo? Msaada pls.

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Wakuu kama profile yako inakugomea unweza tumia njia ipi nyingine kupata matokeo.Naona kama kuna herufi nimeisahau hivi.
 
Daaah pole xana Mkuu kama utakuwa umechaguliwa mda wa kukomfirm umeshaisha mwisho ilikua na 16 september
Kwa hiyo kama mtu ulichaguliwa na hujacomfirm itakuaje mkuu? Maana profile yangu imekua na tatizo.
 
Wakuu kama profile yako inakugomea unweza tumia njia ipi nyingine kupata matokeo.Naona kama kuna herufi nimeisahau hivi.

ilinitokea mwaka jana. sikujua chochote kwenye profile yangu. ukitaka Ku reset passward wanakuuliza code za mpesa nilizolipia nacte. Voda wakanipa maana Nazo nilipoteza. ila nacte hawakuweza kunipa passward mpya. ila nilifuatilia vyuo nilivyoomba baadae nikapata email ya chuo nikichopata. kwa hiyo Kama machaguo yako yalikuwa poa usiwaze sana
 
Back
Top Bottom