Diploma holders tulioapply bachelor kupitia NACTE, hadi sasa hivi hakijaeleweka, sasa hivi watu hawaelewi tatizo ni nini hadi kuchelewesha selections kiasi hiki, mara capacity zibadilike to 0 mara zirudi vilevile!
Kwa mwana JF yeyote mwenye info, tunaomba mtu-up to date jamani, sababu tension imekuwa kubwa, tutegemee selection kuanzia lini? Hali ni mbaya kweli.
Kwa mwana JF yeyote mwenye info, tunaomba mtu-up to date jamani, sababu tension imekuwa kubwa, tutegemee selection kuanzia lini? Hali ni mbaya kweli.