Mambo vipi wadau
Nime print admission letter, tution fees Tsh 800,000
Direct cost 235,000
Mgawanyo upo vipi hapa tunaenda na pesa nusu kwa semista ya kwanza ambapo kwa tution fees ni laki nne au...
NACTE walimu angalieni profile zenu
MATOKEO YA AWALI KWA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA VYUO VYA UALIMU
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuwaarifu wote walioomba kujiunga na kozi...
Eti kwa wale waliochaguliwa vyuo vya elimu wana comfem je? maana ukiingia kweny website ya nacte wanakuambia unatakiwa ukoferm kama utaenda chuo.sasa sijui mtu ukitaka ukoferm unafanyaje??
Binafsi nilitegemea impaka leo majina ya walio pata mkopo 2015/2016 yangekuwa yameshatoka, ili kwa wale waliokosa wazazi/walezi wao wapate muda wa kutafuta ADA na maitaji mengine ya kishule.
Vyuo...
Hongera kwa wenzangu wote waliochaguliwa kujiunga na chuo cha kilimo cha sokoine. Tukiwa tunaelekea kuripo na maandalizi ya hapa na pale ni vema tukafahamiana. Tuma namba yako ya whatsapp na jina...
Crdb wamentumia text inasomeka "Benki ya CRDB Tawi la UDOM inakupongeza kwa kuchaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha UDOM ili kuiendelea kuifanya CRDB kuwa benki yako bora tangu mwanzo wa chuo...
SA students: Zuma freezes tuition fees amid protests - BBC News
Siku zote watawala huwa hawa wafikirii watu wa chini. Hivyo, njia pekee wakuwalazimisha watawala wafanye yale wanayotaka...
naomba msaada wenu mimi nimemaliza nta level 6 mwaka huu 2015 na nimepata gpa ya 3.0 shida yangu kwenye profile ile sehemu ya kuonyesha gpa inaonekana 3.5 lakini kuna wengine wanasema zao ziko...
Habari za saa wanajamvi,,,
Na mdogo wangu kachaguliwa kusomea fani ya "development finance and investments planing"
Naombeni kujua kama kuna advantages zozote atakazo zipata kwenye fani hii na...
Wana JF kama kuna mdau anafahamu vizuri kuhusu Open University kwa tulochaguliwa na tcu vipi tunapata mkopo na boom, na vipi kuna hostel, nisaidieni wadau!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.