Kwamba na wewe unaenda chuo hata kuandika ni taabu. mbona mnatuaibisha wanafunzi wenzenu? soma tena hiyo notification ya nacte. ni chuo ndo kinapaswa kithibitishe uteuzi wako sio wewe uende. uthibitisho utaona pindi utakapoona jina lako kwenye list ya wanafunzi walio chaguliwa inayotolewa na chuo husika
Kwamba na wewe unaenda chuo hata kuandika ni taabu. mbona mnatuaibisha wanafunzi wenzenu? soma tena hiyo notification ya nacte. ni chuo ndo kinapaswa kithibitishe uteuzi wako sio wewe uende. uthibitisho utaona pindi utakapoona jina lako kwenye list ya wanafunzi walio chaguliwa inayotolewa na chuo husika
Mimi ckuona neno confirm, but niliona pending. Na chuo nilichochaguliwa kilikua kinafungua tarehe 27,lakini Leo chuo kimenitumia SMS ya kuniambia kwamba chuo kitafunguliwa tarehe 2,hapo wanamaanisha ni full confirmed ingawaje Mimi cjacomfirm
Wew Ngaz gn mkuu!!? Maana hata mim nasubir confirmation
Ngazi ya shahada
Nimerudia kusoma post yake sijaelewa ipo ina hang mtoa mada anadai vyuo vya elimu at first sikutambua kama atakuwa anamaanisha vyuo vya ualimu until niliposoma post yako. hebu imagine huyu anaenda kufundisha watu. jamani charity begins at homeKweli wanafunzi wa siku hizi mnatia mashaka! ulikuwa na lengo jema la kumsaidia mwenzako lakini hata wewe inaonekana hujaelewa maelekezo ya NACTE! Walimu kazi wanayo na tatizo kubwa mko bize na mambo mengi!!!.... Maelekezo ni kwamba, unafungua "PROFILE" yako uliyotumia wakati wa kuomba chuo. Pale kama umechaguliwa utakuta neno "SELECTED" na utaona neno "CONFIRM" mbele ya chuo ulicho chaguliwa! unachotakiwa kufanya ni kubofya kwenye "CONFIRM" hapo utakuwa umethibitisha kukubali chaguo ulilochaguliwa.
Eti kwa wale waliochaguliwa vyuo vya elimu wana comfem je? maana ukiingia kweny website ya nacte wanakuambia unatakiwa ukoferm kama utaenda chuo.sasa sijui mtu ukitaka ukoferm unafanyaje??
Kweli wanafunzi wa siku hizi mnatia mashaka! ulikuwa na lengo jema la kumsaidia mwenzako lakini hata wewe inaonekana hujaelewa maelekezo ya NACTE! Walimu kazi wanayo na tatizo kubwa mko bize na mambo mengi!!!.... Maelekezo ni kwamba, unafungua "PROFILE" yako uliyotumia wakati wa kuomba chuo. Pale kama umechaguliwa utakuta neno "SELECTED" na utaona neno "CONFIRM" mbele ya chuo ulicho chaguliwa! unachotakiwa kufanya ni kubofya kwenye "CONFIRM" hapo utakuwa umethibitisha kukubali chaguo ulilochaguliwa.
Sasa mimi had Sasa sioni Jina ktk website ya chuo
Nyie vijana nyie!! mmelogwa na nani? Ili kufahamu kama umechaguliwa si lazima uangalie kwenye website ya chuo! fungua profile yako hapo kama umechagulia utaandikiwa SELECTED na kama hukuchaguliwa utakuta NOT SELECTED na sababu za kutochaguliwa ndio maana tangu mwanzo unafanya selection mliambiwa mtunze password zenu mlizotumiwa kwa njia ya e-mail
Mimi pia nasubiri confirmation kutoka chuo nilicho be selected sio mimi ndiye ni confirm hilo ni geni kwangu.Wadau tunawaomba mlio Karibu na chuo ulichopangiwa ufike ili tupate taarifa mpya maana vyuo vimechelewa sana kuthibitisha kiasi cha kutia hofu kwa miongoni wa wanachuo tarajali.