Msaada wa hii fani chuo cha mipango dodoma

Baba Loveness

Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
6
Reaction score
69
Habari za saa wanajamvi,,,
Na mdogo wangu kachaguliwa kusomea fani ya "development finance and investments planing"
Naombeni kujua kama kuna advantages zozote atakazo zipata kwenye fani hii na vipi kuhusu soko lake la ajira kwa hapa ndani ya nchi...
Msaada tafadhali...
 
Wewe kama kaka ilibidi uwe unajua ili umuongoze mdogo wako.Sasa inakuaje mkubwa kama wewe unaomba ushauri,mdogo wako utamwongoza kweli?
 
Habari za saa wanajamvi,,,
Na mdogo wangu kachaguliwa kusomea fani ya "development finance and investments planing"
Naombeni kujua kama kuna advantages zozote atakazo zipata kwenye fani hii na vipi kuhusu soko lake la ajira kwa hapa ndani ya nchi...
Msaada tafadhali...

Hiyo course sio mbaya bt wigo wake wa ajira ndo tatizo othewise jitihada binafsi ndo zitamsaidia ndg
 
Back
Top Bottom