Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

nimechaguliwa chuo cha udom kupitia nacte na nina GPA ya 4.6 ila majina yaliyotoka jana sipo sasa sijui ndio ishatoka hivyo au watatoa batch 3
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi nimehitimu kidato cha nne 2011 nna ufaulu wa masomo ya sayansi kasoro chemistry nmefeli .,je naweza kupata chuo cha serikali cha pharmacy nkasomee ngazi ya cheti....tafadhali mwenye uelewa na...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Habari ya sasa... kichwa cha habari hapo juu chahusika. Nimechaguguliwa bachelor of science in psychology and counseling, kama utaenda kujiunga hapo mwaka huu na huna hata mtu wa kupanga nae...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Mwenye vigezo gani anaweza kusoma advanced diploma(afya),pia nini tofauti kati ya Advanced diploma na ordinary diploma.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Heshima wakuu, mimi ni mwl wa masomo tajwa hapo juu ngazi ya shahada. Nahitaji nafas ya kufundisha ktk shule yoyote hapa TZ ilimradi tuelewane malipo. Kwa msaada wa mawasiliano 0656698650
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Ingia web ya nacte tarh 28/9/2015.Fungua hyo update kisha Download joining instructions
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Tunatoa msaada na ushauri wa kitaalam katika kuwawezesha watafiti katika: research design, survey development, sampling design, data analysis (both qualitative and statistical analysis), report...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
BRN ni mpango wa serikali ulioanzishwa kuleta matokeo makubwa katika secta mbalimbali hapa nchini ikiwemo pia ya elimu.Nikizungumzia kuhusu secta ya elimu pengine inawezekana ikawa imeambana na...
2 Reactions
93 Replies
9K Views
Waheshimia naomba kuuliza kwa anayejua kuhusu second batch ya udsm maana nimeona 1,3,4 na 5...na mimi nimeandikiwa nimechaguliwa udsm lakini admission yangu hakuna chuoni nimeomba kupitia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Joining instructions here
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kiukwel wanatuumza me sielew chochote mpka xaxa maana 2nd batch inazngua naomben mwenye uelewa anisaidie niki log in kwnye web yao wananiambia incorrect dah?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
wale wa diploma na advanced diploma kwa anayejua tarehe ya kuanza masomo ualimu ambao bado hamja chaguliwa nawaombea mpate na nyinyi msaada
0 Reactions
0 Replies
890 Views
hellow wale wa batch two udom mambo tayari so just click on website ya chuo maana mmesubiria sana
0 Reactions
2 Replies
2K Views
tupeane updates hapa
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Samahani wana JF nilikuwa naulizia process za kuhama chuo. Je ni hatua gani natakiwa nifuate? Nimechaguliwa DUCE bachelor of science with education.
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Habari wana Jamvi, poleni na pilikapilika za uchaguzi. Naomba mwenye taarifa za chuo hiki ambacho hutoa online studies, Mimi niliomba mwezi September 2015, na Leo nimepigiwa na agent wao hapa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wakuu tusaidiane kwa hili kwa yeyote mwenye taarifa za community health applicants
0 Reactions
17 Replies
2K Views
jamn kwa wale NIT vip kuhus admission letter na fomu nyngn zinaptukn online au lazm uende chuoni
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Form Two - PAST PAPERS (Revision made simple)The expectation of these learning materials is to provide a base of knowledge that each student will have by the time they come to take their...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom