Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nimekwama great thinkers wenzangu naomba mwenye uelewa wa mojolojia arudhi anisaidie au anitumie kwenye email yangu ya lawigodwin@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Yaani wamepunguza direct cost badala ya...196300/= imekuwa 169000/= Maandalizi mema,,,,
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi?! Uchaguzi ndo huo umeisha tunasubiri matokeo lakini kwa upande mwingine tarehe za vyuo kufunguliwa ndo zmewadia lakina cha kusikitisha kuna watu mpaka sasa hawajui nini...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mwny details nzuri za hi kozi apite hapa tafadhali anipe mwongozo mzuri inahusu nn
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Leo wengi wetu wa 2nd batch tumetumiwa SMS kutoka CRDB bank branch ya udom kutupongeza kwa kuchaguliwa kujiunga na chuo hicho .Naona Sasa 2nd batch ipokaribu kutoka so soon
0 Reactions
9 Replies
3K Views
If the sun is static, and the earth rotates. Of the two, which one 'rise and set'?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari, Mimi ni kijana wa kidato cha sita ninayesoma mchepuo wa EGM katika shule moja mkoani mbeya.labda nitoe historia fupi ili niweze kusaidika. ilikuwa ni siku ya jumatatu,nilipoona ni...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
wakuu nimechaguliwa IFM kozi ya bachelor of science in social protection sasa nataka nifanye transfer kwnd chuo kingine na pia nibadilishe kozi huko ninakotaka kwenda je inawezekana na ni hatua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hamieni jukwaa la "uchaguzi Tanzania" kwa updates viva ukawa
0 Reactions
0 Replies
809 Views
naomba mnisaidie, mwaka jana nilichaguliwa kujiunga na chuo fulan hapa tz(SUA) kutokana na matatzo ya kiafya nilienda nikasajiriwa badae nikaomba kuahirisha nikakubaliwa nikarud kwenye matibabu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kwanza niwapongeze kwa kuchaguliwa katika chuo bora cha kilimo Tanzania..... kama wewe ni mwanafunzi unaetegemea kujiunga na chuo chetu kwa mwaka wa masomo 2015 to 2016 na unataka ufafanuzi wowote...
0 Reactions
60 Replies
12K Views
Nianze kuzipongeza Shule zote zilizoshiriki mitihani ya kidato cha pili na kupokea walichostahili.Nawapongeza pia wanafunzi waliofaulu na kuwapa moyo wanafunzi wanaotakiwa kukariri kidato cha pili...
0 Reactions
24 Replies
9K Views
Nimechaguliwa mt meru university main campas Arusha anaekijua anipe dondoo kidogo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana JF naombeni kujua nitawezaje kuomba nifanye transfer chuo nilicho chaguliwa kwani nimechaguliwa mbali na matarajio yangu na isitoshe nina wadogo zangu wawili na wasomesa hivyo siwezi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Cheki apo http://suanet.ac.tz/phocadownload/second_batch_2015_2016.pdf
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu tulioandikiwa kwenye profile zetu za nacte kuwa tusubiri confirmation toka kwenye vyuo ila tupo selected, nilikua nina ushauri labda unaweza kutuletea majibu mazuri, nina rafikiangu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu nimemaliza form 4 mwaka jana nimeaply chuo cha tengeru ambacho ni cha serikal nikapata naenda kusomea certificate ya community development lakini kutokana na,ada kuwa kubwa na mahitaj...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jamii forum salaam. mimi ni moja kati ya wadau wakubwa wa elimu naombeni ushauri wenu kwa hili.... Ninae ndugu yangu mmoja ni mwalimu wa sekondari moja manispaa ya Arusha, mwaka 2014...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wandugu nimepata mesage kuwa hiki chuo kinatoa kozi ya community health kwa form four leavers bure lakini nimetafuta katika mtandao wao na kwingine sijafanikiwa kupata taarifa zaidi. naomba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habari zenu wana jamvi natumaini wazima wote natafuta mtu wa kupanga nae geto maeneo ya malimbe mwanza karibu na saut kwani ndo naenda anza mwaka wa kwanza jinsia yangu ni (me) lakini nataka...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom