Habari wanajamvi?
Mimi ni mnufaika wa mikopo ya elimu ya juu.
Nafanya kazi sekta binafsi, mara kadhaa wamekuja watu wakidai wanatoka bodi ya mikopo kwa ajili ya kutambua na kukusanya mikopo ya...
Habari wakuu!Kwa waliopita na waliopo DIT,naomba kufahamishwa juu ya huduma ya hostel kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza B.Eng,je wote hupata au wengine hukosa? Karibuni.
Wadau, kuna system ya admission naitengeneza. Naomba msaada wa kutafsiri hizi admission requirements!!
DIPLOMA IN LOGISTICS MANAGEMENT (DLM)
A certificate in Logistics Management (CLM) of at...
Jamani kama kuna mtu anafahamu hawa Tumaini University Makumira wanatoa lini majina ya waliochaguliwa second round atujuze maana nimechoka kuangalia profile yangu TCU ikiwa imeandikwa Waiting for...
wakuu naomba kwa wale mliochaguliwa NIT hasa 1st round mnisaidie kama kuna joining instruction au admission letter mlizopata kutoka chuoni mtusaidie na sisi ambao bado ili tufaham mambo muhimu ya...
Habar zetu wadau,mimi ni mmoja ya watu walio apply chuo kutipitia nacte,leo nimefungua profile yangu nikakutana na ujumbe unaonifanya nipate maswali mengi na kushindwa nifanye nini,wameniandikia...
Mwenye contact zozote za mhusika yeyote wa chuo hiki anitumie inbox 0753601095 maana profile yangu Ina provisionally selected kwa mda mrefu af namba zao za ofisini zinaita 2 hazipokelewi
naomba mnielekeze kwa waliopata admission letter kwenye ile formu ya malipo sisi tuliochaguliwa special diploma in education science and mathematics kwenye kipengele B tuition fees tunalipia...
Nani ana uelewa wa hii kozi ya aircraft maintanance Engineering, mbona ada yake kubwa sana pale NIT na hivi HESLB itatoa kiasi gani? Kwani ni mpya na mwaka wa kwanza tu ada ni 10,450,000
sorry wadau mimi nimechaguliwa bachelor of technology in architecture chuo cha MUST,mwenye uelewa na kozi hii katika mfumo wa ajira na hata kujiajiri pia changamoto zake naomba unijuze,haijarishi...
Wana jf mko pouwa,,, jamani naombeni ushauri coz nko stressed cjachaguliwa coz yoyote na TCU up 2 now even private na ufahuru wangu ni GPA ya 2.7 nimesoma pcb na nilijaza almost education sasa...
Naomba msaada nimechaguliwa first round udsm but cjawa admitted na profile inaonesha nimechaguliwa udsm na kozi husika niliyochagua.
na udsm wametoa batch 2 lkn bado sipo mwenye msaada na cku...
Eti huyu mkuu wa shule aitwaye mama Mashaka bado yuko kwenye utumishi wa umma?Ikiwa ndivyo yuko shule gani?Mimi alinifundisha Kemia pale Kigoma sekondari kabla ya kuhamia Mwanza.
nimechaguliwa chuo sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu sitaweza kwenda mwaka huu .
sasa je utaratibu ukoje wa kuahirisha. je? nitatakiwa kufanya regstration chuoni ndo niombe...
hello Ladies and Gentlemen.
natumai mko salama mnaendelea na shughuli zenu za hapa na pale.Kuna umoja wa wanafunzi ambao walidsco vyuoni au waliahirisha masomo kwa sababu za hapa na pale na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.